أعلان
أعلان

تحميل كتاب AQIDATUL WASITWYYAH PDF
نبذة عن كتاب AQIDATUL WASITWYYAH
كتاب AQIDATUL WASITWYYAH
Swalah na salaam zimfikishie mbora wa viumbe, Muhammad (وسلم وآله عليه اهلل صلى ,( ahli zake, Maswahabah wake na kila mwenye kufuata mienendo yao. Amma ba ́ad: Hakika hiki ni kitabu kilichoandikwa kwa ufupi kubainisha I ́tiqaad sahihi ya Al- us-Sunnah wal-Jamaa ́ah, kiitwacho “al- ́Aqiydah al-Waasitwiyyah” alichokiandika Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin ́Abdil-Haliym bin ́Abdis-Salaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) alokufa mwaka 728 H. Sababu ya kuandika kitabu hichi, alimjilia bwana mmoja alokuwa Qaadhiy katika mji wa Waasitw akamshtakia Shaykh-ul-Islaam uharibifu na upotofu uliopo katika mji wao katika upande wa I ́tiqaad ya Majina ya Allaah na Sifa Zake. Akaandika kitabu hichi chenye kuzingatiwa kama tegemeo la msingi wa I ́tiqaad sahihi ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa ́ah katika mambo ambayo waliyozama nayo watu katika Bid ́ah. Hakika ni kitabu ambacho kilichokusanya mfumo sahihi wa Ahl-us-Sunnah wal- Jamaa ́ah. Jambo ambalo Muislamu siku zote hatosheki nalo, bali alihitajia siku zote katika maisha yake, kwa kwamba ́Aqiydah ndio msingi. Kitabu ambacho ni dalili tosha ya kuonesha umuhimu wake katika Ummah wa Kiislamu kwa kule kubahatika kupata Qabuul (kukubaliwa) kwa kushereheshwa na wanazuoni wa Kiislamu wa Ahl-us-Sunnah mbalimbali katika zama tofautitofauti, bali na kusomeshwa katika ulimwengu wa Kiislamu tokea zama hizo mpaka leo na mpaka ulimwengu utakapomalizika. Na leo nazidi kumshukuru Allaah (وتعالى سبحانه (na kufurahi tena kwa kuwa kijana chetu mpendwa – Allaah Amuhifadhi – al-Akh Abu Bakr Khatwiyb. Amesimama na kukifasiri kitabu hichi kwa lugha ya Kiswahili ili mujtamaa wetu ufaidike na kujua misingi sahihi ya I ́tiqaad ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa ́ah. Allaah Ampe kula la kheri hapa duniani na huko Aakhirah na Aijaalie ́amali hii iwe Swadaqat- un-Jaariyah ya mzee wake alokwenda mbele ya haki. Allaah Amrahamu na Amuweke mahali pema. Na yeye ampe afya njema na Ikhlaasw na hima kuendelea kufanya kazi hii ya uandishi na nyinginezo za Da ́wah ili mujtamaa wa Kiislamu unufaike na Amuwekee katika mizani ya hasanati zake. Wa SwallaAllaahu ́alaa Muhammad wa ́alaa alihi wa Aswhaabihi wa Sallam. Kitabu hiki kinazunguzia mas’ala ya Aqidah Tawhid .هذا الكتاب من تأليف ابو العباس احمد بن عبد الحليم بن عبد السلام بن تيمية الحراني و حقوق الكتاب محفوظة لصاحبها
التحميل | حجم الكتاب |
---|---|
تحميل | غير محدد فى الوقت الحالى |

كتاب قاعدة فى المعجزات والكرامات PDF
ابو العباس احمد بن عبد الحليم بن عبد السلام بن تيمية الحراني
كتب إسلامية - كتب إسلامية متنوعة - غير محدد عدد الصفحات

كتاب العقيدة الواسطية PDF
ابو العباس احمد بن عبد الحليم بن عبد السلام بن تيمية الحراني
كتب إسلامية - التوحيد والعقيدة - غير محدد عدد الصفحات

كتاب The Prophet rsquo s Methods for Correcting People rsquo s Mistakes PDF
محمد صالح المنجد
كتب إسلامية - كتب إسلامية بلغات أخرى - غير محدد عدد الصفحات

كتاب EL TAWHID El derecho de Allah sobre sus siervos PDF
محمد بن خليفة التميمي
كتب إسلامية - كتب إسلامية بلغات أخرى - غير محدد عدد الصفحات

كتاب 1000 sunnas dans la journ eacute e et la nuit PDF
خالد الحسينان
كتب إسلامية - كتب إسلامية بلغات أخرى - غير محدد عدد الصفحات

كتاب اصلاح معاشرہ میں عورت کا کردار PDF
محمد بن صالح العثيمين
كتب إسلامية - كتب إسلامية بلغات أخرى - غير محدد عدد الصفحات

كتاب C oacute mo se realiza el Hayy y la lsquo Umrah PDF
محمد بن صالح بن العثمين
كتب إسلامية - كتب إسلامية بلغات أخرى - غير محدد عدد الصفحات